Kazi inazidi kupamba moto katika ujio mpya wa filamu ya Kichawi ya PENZI LA KIZA, naweza kusema ni filamu iliyojaa matukio ya kutisha na yaajabu. Huenda ikawa nifilamu ya pekee ambayo watu wamefanya mambo ya ajabu kuliko watu wanavyofikiria, ni ujio wa Penzi la Kiza chini CY & CY company |
No comments:
Post a Comment