Mwanamuziki Lady Jay Dee jana juni 15 alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa katika Mgahawa wake pale Nyumbani Loudge. Katika sherehe hiyo ilipamba na watu mbalimbali,akiwemo mwanamuziki Khadija Kopa, na mC wa sherehe hiyo alikuwa ni mwanamuziki Barnaba boy.
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment