Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Nyumba ya vipaji Tanzania Linah Sanga, juzi alikamilisha tamasha lake ambalo lilikuwa kama kukalibishwa katika jiji la Dar es salaam baada ya kutoka Marekani kwenye Tour iliyoghalimu miezi kibao. Tamasha hilo alilifanya Maisha Club na kukusanya watu kibao waliotaka kujua nini angefanya pindi atakapokuwa jukwaani. |
No comments:
Post a Comment