Yule mwanaharakati wa Madaktari, Dkt. Ulimboka
akiwa ktk hali mbaya mara baada yakuokotwa akiwa
hajitambui , baada ya kupigwa vibaya sana. Inasadikiwa kwamba Dkt
Ulimboka alitekwa jana usiku mishale ya saa6 usiku
baadaya kupigiwa simu na mtu alisiyetambulika. Inasemekana Dkt Ulimboka
alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kutokana na hari hii
huenda wafanyakazi
wa chumba cha maiti muhimbili nao kuingia kwenye mgomo usiokuwa na
mwisho. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania wawe na moyo
wa imani Amin.
|
No comments:
Post a Comment