Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, June 7, 2012

Fella kutafuta msanii Mwanza na Geita

Kundi la wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiongozwa na Saidi Fella wanatarajia kufanya bonge la tamasha mkoani  Mwanza, wakimtafuta mkali kutoka sehemu hizo ambaye atakuja Dar es salaam kuja kufanya kazi zake za kimuziki. Tamasha hilo litakuwa tarehe 6 Juni litafanyika Villa Park, wakati tarehe 7 itakuwa ukumbi wa Ambassado Geita,  na tarehe 8 juni watamalizia CCM kilumba.
Miongoni mwa wasanii ambao watakuwemo kwenye tamasha hilo ni Ommy Dimpozi, Hamisi Mwijuma ‘Mwana Fa’,  Amani Temba ‘Mh Temba’, Hija Cheka ‘Bibi Cheka’. Wasanii wote wa Tmk pamoja na wasanii wa Mwanza.

No comments:

Post a Comment