Mnenguaji wa bendi ya Extra Bongo inayomilikiwa na Ali Choki, juzi amevuta jiko bi Hawa baada ya kukaa muda mrefu bila kuoa baada ya kufiwa na mkewe. Sherehe hiyo ilifanyika msikitini maeneo ya Kinondoni, ambapo bibi Harusi huyo anapoishi.
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment