Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, June 7, 2012

TRIPLE L yaja kutikisa kama TOBA

Baada ya kuachia filamu ya TOBA ambayo ilititikisa katika uzinduzi wake katika visiwa vya Zanzibar na kufanya vizuri katika mauzo yake, sasa kampuni ya CY & CL Company inakuja na filamu machachari ya TRIPLE L. Ni filamu ambayo inazungumzia mapenzi kwa njia tofauti sana. Ndani ya filamu ya TRIPLE L utakutana na wakongwe kama Patcho Mwamba, Cloud 112, Warda Walid na wakali wengine ambao waliamua kuonyesha hisia zao, . Hakika ni miongoni mwa filamu ambayo imefanywa kwa utulivu sana, itakuja kufunika katika mwezi huu, na siku zijazo.

No comments:

Post a Comment