Maandalizi
ya usahili wa Epiq Bongo Star Search utakaofanyika leo Jumamosi
tarehe 23 and Jumapili tarehe 24 katika eneo la Ngome Kongwe, Zanzibar.
.
Mawazo na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano
mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze
anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa,
tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na
wadua wengine wa habari.
|
No comments:
Post a Comment