Mwanamuziki wa kizazi kipya Amini Mwinyimkuu, ameshakamilisha video ya wimbo wake mpya ya Niwewe, na kusema picha zilizokuwemo kwenye video hiyo ndizo watu walizozitumia na kusema kwamba ameoa. Mwanamuziki huyo anasema yeye hakuoa, na picha zilizotumika humo ni za video ya wimbo huu. | |
|
No comments:
Post a Comment