Mwanamuziki mzee kuliko wote katika muziki wa kizazi kipya, Bibi Cheka anatarajia kufungua Pasaka katika mkoa wa Morogoro. Mwanamuziki huyo amesema anafurahi sana kufanya show hiyo,kwakuwa kwake huenda akaifanya kama vile Show ya kwanza tangu alipoanza kuimba. Amewaomba wakazi wa Morogorokujiandaa kwani ujio wake wa wakati ni mkubwa kwakuwa anataka kuwafanyia Suprise. Katika tamasha hilo pia atakuwepo mwanadada kutoka Bongo Move ambaye kwasasa anatikisa kwenye muziki kama dada dume 'Shilole' Aslay, Ferooz, Nurudin, na wasanii kibao wakiwa chini ya Mh Temba kutoka Tmk Wanaume Family |
|
|
No comments:
Post a Comment