Msanii maarufu wa
filamu nchini Issa
Mussa 'Cloud 112' amelazwa katika hospitali ya Al Ijumaa iliyopo
Kariakoo baada ya kuugua
ghafra, wakati akiwa katika shughuli zake za kawaida. Cloud 112
amelazwa hospitalini hapo tangu saa saba mchana,na hivi sasa tayari
ameshapata vipimo
vya Malaria ambayo amekutwa hana, pia akapimwa na presha ambapo alikutwa
ipo
sawa, hali iliyopelekea kuchukua vipimo vya typhod. Hadi hivi sasa
msanii huyo bado yupo
hospitali kwaajili ya kuendelea kuangalia afya yake na kuchukuliwa
vipimo
zaidi, wakati huo pumzi ndiyo inayomsumbua kwa kuwa anaipata kwa tabu |
utapona mwenyezi mungu atakupa afya na nguvu ishalla na uzima AMIN
ReplyDeleteBrother Issa tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu utapata nafuu. Kwa niaba ya Maseneta wote wa ASET.
DeletePole Claud kwa kuumwa changamoto lazima zije ukipona pia tujuze
ReplyDelete