Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Tuesday, April 3, 2012

(Mb Dog)
Mwanamuziki Zola D pamoja na Md Dog,tayari wameshafika katika nchi ya Ujerumani katika show ambayoinatarajiakuanza siku ya juma mosi katika mji Stuttgart.  Zola D amesema kwamba” Kesho  moto wa tipa unawaka katika show ya kwanza,  nipo fit na tumejipanga poa mimi na mdogo wangu mb dog kumwaga show ya kufa mtu in stuttgart th 7”
Aliendelea kusema kwamba “ kesho juma mosi mtamboni atakuwepo dj osman na dj noel ni nooma sana, watu wangu wote wa germany msikose kuja tule bata pia nitawachania hip hop live bato za kumwaga”
(Zola D akiwa na Tina)
Hakuishia hapo akazidi kusema kwamba “kama kawaida yangu next show, bad cannstatt bahnhof ni welcome party pia msikose sponsored by stadt stuttgart kulturamt and mozambique verein”


No comments:

Post a Comment