Mwanamuziki Elias Barnaba, yupo mbioni kuachia video yake mpya ya Gumegume ambayo inaonekana kuwa tayari na ameshaanza kuchukua picha katika maeneo mbalimbali ikiwemo Nyumbani Lodge.
Mwanamuziki huyo amesema video hiyo anatarajia itakuwa kali kuliko kawaida ya watu walizozizoea...
MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Sunday, March 25, 2012
GUMEGUME katika maandalizi
Tamasha la Waandishi jinsi lilivyofana katika picha
Tamasha la Waandishi lililofanyika jana ilikuwa burudani kubwaa baada ya kukutana kwa waandishi kutoka vituo mbalimbali. Mgeni rasmi katika bonanza hilo alikuwa Waziri wa Afrika mashariki Samweli Sitta, huku waandishi wakijumuika katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira na boxing.
Pia wasanii wa muziki wa kizazi kipya TMK Wanaume Family na Mkubwa na Wanawe wote kwa pamoja wakiongozwa na Mh. Temba, waliweza kutoa burudani.
Pia kwa upande mwingine bendi ya Fm Academia nao walitumbuiza.
Saturday, March 24, 2012
TOBA FILAMU KUZINDULIWA ZANZIBAR 18,5,2012
Issa mussa khamis ; Cloud 112 amesema kuwa filamu ya Toba tayari imekamilika kwahiyo anawapa
taarifa wadau na wapenzi wa filamu za Tanzania kuwa filamu hiyo itazinduliwa visiwani Zanzibar na
kupatikana nakala hapo hapo siku ya onesho, Ndani ya ukumbi maarufu ,Ngome kongwe Zanzibar
Sasa hebu tuone picha kadhaa za filamu ya Toba wakati wa maandalizi karibu
Saturday, March 17, 2012
Part 2 ndo hiii.....
Nimesema siongei kitu kwenye Picha hizi we endelea tu kukamua mimacho ukiwa na la kuuliza we Comment....
Mwaka mmoja wa Bongo Movies wafana
Siku ya jana kwa wale ambao walikuwa hawajui nini kilichotokea kulikuwa na Tafrija ya Chama cha wasanii Tanzania Bongo Movie Kufikisha mwaka mmoja toka kianzishwe.
Yafuatayo ni matukio ya Picha kwa wale ambao hawakuwepo, haya Endelea...
Usikae mbali bado nyingine nyingi tuu, hii ndo kwanza Part 1......
Subscribe to:
Posts (Atom)