Kundi la Orijinal Komedi
Waigizaji wa Ze Comedi inasadikiwa baada ya kumaliza kwa mkataba wao, hali imekuwa tete katika kuongeza mkataba mpya katika stesheni ya Luninga ya TBC 1.
Hata hivyo Cloud 112 alipojaribu kuwategea ili kuwauliza kwamba madai hayo ni ya kweli au laa kwa njia ya simu, wamekuwa wakikata simu bila ya kujibu chochote jambo ambalo linaonyesha wazi kwamba maji yameshawafika shingoni.
Mwanzo katika mitandao yao waliandika katika tovuti yao kwamba watakuwa likizo kwa kipindi chote cha mwezi wa Kwanza (January)
lakini cha kushangaza Mpaka sasa Mwezi wa Tatu huu hawaonekani katika Luninga na Kazi Mpya na TBC 1 bado inaendelea kurusha Marudio kwa Siku ambazo OK ilikuwa inaonesha Vipindi vyake katika Luninga kupitia TBC1
No comments:
Post a Comment