Ilikuwa ni siku ya kuwachangia ndugu zetu waliopata mafuriko ya mvua, Mechi hiyo ilichezwa
katika Uwanja cha Taifa na matokeo yalikuwa ni mabao 4 - 3 ilikuwa patashika nguo kuchanika
Hapa Ray akikabidhiwa kikombe na mgeni rasmi yeye ndiye nahodhaa wa timu yetu ya Wasanii
hapa Cloud akiwa anasalimiana na mgeni rasmi na Nyerere akisalimiana na kamanda Kova
hapa upande wa kushoto ni Barafu na kulia Cloud 112 nyuma Chekibud na mfadhili wa timu
No comments:
Post a Comment