Leo Juni 12 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii nguli wa filamu nchini Issa Mussa Cloud 112. anasema anawapenda sana mashabiki wake na ataendelea kuwapa vitu vikali zaidi ya vile vya mwanzo, kwani kuzaliwa upya ni sawa na kuzaliwa upya kwenye tasnia ya filamu. Kutokana na hali hiyo anaamua kuiachia filamu yake mpya ya Tripple L ambayo ataitoa mwisho wa mwezi huu. |
No comments:
Post a Comment