Jana usiku mwigizaji wa filamu nchini Cl;oud 112, alikuwa Mc katika shere ya rafiki yake ambaye alikuwa msimamizi wa harusi yake, hata hivyo msanii huyo pia aliweza kuonyesha burudani ya dakika kadhaa wakati wa kumtambulisha msanii mwenzake Dr Cheni. harusi hiyo ilikuwa kati ya Rodrick Mkapala na Bi Rehema Mwafula
Dotnata akiwa na mumewe Posh
Mwimbaji Syna alifanya vizuri sana katika harusi hiyo.
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment