Mwanamuziki kutoka pande za Arusha, aliyekuja kwa kasi na nyimbo anajua baada ya kuchukuliwa na kundi la Tip Top Connection, chini ya mwanamuziki Madee pia ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo, amerudishwa kwao kutokana na kutoelewana na kiongozi wake |
No comments:
Post a Comment