Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Saturday, June 23, 2012

Ujio wa Penzi la Kiza, ni huu hapa.

Msanii Cloud 112 hivi sasa yupo Location kwaajili ya filamu yake mpya ya PENZI LA KIZA, ambayo imejaa vituko na vimbweka. Miongoni mwa kituko katika filamu hiyo,pale msanii huyo alipokimbizwa na Nyundo kubwa kutaka kuuwawa na msanii na Muba. Zaidi ya hapo filamu hiyo imejaa kila aina ya vitimbwi

Hapa akiwa na Bi Hindu,mmoja wa mihiri mikubwa ya sanaa nchini.

Cameraman  Saidi akila mkate wakati akipumzika kidogo.











Msanii Chipukizi Elizaberth Njau


Jamaa aliamua kuoga, barabarani katika moja ya mashariti ya Mganga.


No comments:

Post a Comment