CANDY CALFONIA AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA DIRETOR "GOBA FRED" AMBAYE ANAMILIKI
KAMPUNI YA "NEW PAGE VIDZ," VIDEO HIYO AMBAYO INATAZAMIWA KUWA NGUMZO
KWA MASHABIKI NA WATAZAMAJI WA RUNINGA MBALIMBALI HAPA NCHINI, KWANI
HUMO NDANI KUNA MBWEMBWE, KUJIACHIA KUSIKO MFANO, KUJISHEBEDUA, KURINGA
KULIKOPITILIZA NA UHODARI MKUBWA WA KUDANCE ALIOUONYESHA NDANI YA VIDEO
HIYO, HAKIKA DIRECTOR ALIKUWA MWENYE WAKATI MGUMU SANA WAKATI ANACHUKUA
CLIPS ZA VIDEO HIZO.....EBU PATA NAFASI UIONE VIDEO HII NA UONE JINSI
CANDY ALIVYOJIACHIA NI BALAA...!! VIDEO YAKE HIVI PUNDE TU ITAONEKANA
KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA LUNINGA NDANI NA NJE YA TANZANIA. MWANADADA
CANDY AMBAYE WIMBO WAKE HUO MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" NI
MIONGONI KWA JIMBO 6 ZA WASANII CHIPUKIZI ZILIZOCHAGULIWA KWA AJILI YA
FIESTA 2012 NA NI MWANAMKE PEKEE KWENYE GROUP HILO LA WATU SITA AMBAPO
WATANO NI WANAUME.
JINA LA WIMBO (VIDEO) : CHANINI
WATENGENEZAJI WA VIDEO : NEW PAGE VIDZ
MSIMAMIZI : GOBA FRED
MSANII : CANDY
WATENGENEZAJI(AUDIO) : PAMOJA RECORDS
|
No comments:
Post a Comment