ampuni ya ZUKU Tv wameamua kushiriki katika kukuza tasnia ya filamu
nchini kwa kuingia katika kuzamini, Tamasha kubwa na la kimataifa nchini
la Filamu Zanzibar linalojulikana kama Tamasha la Majahazi au Zanzibar
Film Festivel 'ZIFF'. ZUKU imetia sahihi ya mkataba wa Dola Milioni
moja. Sherehe hiyo iliudhuliwa na wasanii mbalimbali wakiwemo wa
filamu wanamitindo na muziki wa bongo Fleva. |
No comments:
Post a Comment