Habari za leo wadau wangu wakubwa wa
blog hii pamoja na filamu zangu, hopefull mko vizur SANA , na mimi nipo mzima wa afya Alhamdulilah, Bado tupo Kambini kwa ajili ya kuendelea kuishoot Filamu ya
"DR MAX" kwa ajili yenu, Na Leo kama tulivyo ahidiana tutakua tukipeana picha za nyuma YA Pazia Kwa kile kinachoendelea huku, kila tutakapo kua wazima wa afya kwa mtindo wa DAY, Juzi niliweka picha na ilikua ni
DAY 1, Leo kwa taratiibu kabisa nime wawekea picha za
DAY 2, Jinsi tunavyoshoot huku:
Karibu sana kuziangalia picha za
DR MAX behind the scene DAY 2: Hizi hapa....
|
On set with Wastara |
Lakini pia usisahau kuacha maoniy yako hapo chini kwa kutumia facebook yako hapa chini:
NAWAPENDA SANA
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment