Kwanza sina budi kumshkuru M/mungu muumba wa kila kitu, kwa kutueka wazima mpaka muda huu mimi wewe pamoja na wengine, Pili niwashkuru sana nyinyi Fans wangu kwa kuendelea kuniunga mkono katika kazi zangu takriban zote ninazozitoa, kwasababu nyinyi ndio mnaonifanya nitengeneze
Filamu nzuri kila siku, Sasa baada ya kufanya vizur kwa Filamu ya
SHAHADA kwa msaada wenu. Ndugu yenu nimeingia
kambini,na sasa natengeza Filamu nyengne kwa ajili yenu, filamu hiyo inaitwa
DR MAX, kwa ushirikiano wenu nina imani
DR MAX itakuja kuleta mapinduzi makubwa ya Filamu Tanzania, hii ni
DAY 1 ambayo nimeamua kukuekeni picha za kinachofanyika na pia tutaendelea kupeana picha mpaka siku tutakayo maliza kwa mtindo wa day 1, day 2 mpaka tutakapo maliza tuombe uzima tuu;
PICHA ZA
DR MAX behind the scene
DAY 1 ni hizi zifuatazo:-
NAWAPENDA SANA NA ENDELENI KUNIPA SUPPORT:
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment