(picha/storyna DJCHOKA)
Super Star wa
Bongo Movie nchini Ray Kigosi aka The Greatest sasa yupo kwenye
matengenezo ya movie yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wenzake wa
bongo movie wakali katika game hili. Katika account yake ya Instagram
Ray ameonekana akionyesha picha wakati wakiishuti movie hiyo pasipo
kutaja jina la movie hiyo huku akiwaambia mshabiki wake wakae mkao wa
kula na kuona ujio wake mwingine.
Hebu onja kidogo picha kadhaa wakati wakishuti movie hiyo hapa...
No comments:
Post a Comment