Baada ya maneno mengi kutoka kuhusiana na ngoma mpya ya msanii
DIAMOND PLATNUMZ, ameamua kuondoa ukimnya na kusema kuhusiana na wote waliyosema kuibiwa ngoma hiyo kina mna moja ama nyengne,Diamond alifunguka leo alipokua akifanya interview na radio ya cloudFm jijini Dar- es - salaam,. Lakini pia licha ya Diamond kukanusha madai hayo ambayo yalitolewa na Dayna na,Baba levo,Pia alifika mbali na kusema kuanzia sasa hataki Collabo na mtu yoyote, ni bora afanye mwenyewe na wala hataki mtu aje amwambie anataka Collabo labda kwa watu ambao anaheshimiana nao atafanya nao, lakini wengne wengine wasahau kabisa collabo na yeye,
Pia alielezea suala la kua na mtoto au kumtia mimba mwana denti wa FORM 4, kua suala hiyo c kweli na wala hana mtoto, laiti angekua nae asingemtelekeza angemfikisha kwa mama naseeb kisha baaas:
Hizo ni skando tuu za kutengenezewa na watu lkn hazina ukweli wowote ule:
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment