Nimepata
Comment zenu kupitia
Twitter account yangu pamoja na
Facebook fanpage, ya kua mnataka maelezo mafupi juu ya ujio huo wa filamu mpya, kwa vile nawapenda na kuwajali na pia najali na mnachoniambia kuomba km mashabiki zangu, nimeaka hii hapa video fupi yenye maelezo ya kueleweka kuhusu Filamu mpya ya
''DR MAX'' ni kwa ajili yenu tuu;
AHSANTE
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment