Mpaka blog hii inaingia mitamboni Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha kifo chake ila tunafanya juhudi kuweza kuzipata na tutawaletea zitakapokuwa tayari.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
hizi zifuatazo ni baadhi ya picha zake marehemu MELISA:
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment