Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, September 27, 2013

SALAM ALIZOZIPATA WASTARA KUTOKA KWA MASTAR MBALI MBALI HIZI HAPA:

 Leo ni Birthday ya Mwanadada Wastara Sajuki ambaye kwa nyingine kama si mara ya kwanza tangu afiliwe na mumewe, utamuona kwenye Filamu Yangu mpya ya DR MAX itakayotoka hivi Karibuni: na hapo kwenye picha ni scene moja mimi na yeye:

Wastara mwenyewe amejipongeza kwa kusema...
Happy b/day 2 me""Alhamdulilah namshukuru sana m/mungu kwa kueza kunifikisha katika siku hii mpaka sasa ni mzimah""Namtanguliza yeye kwa kila jambo anisimamie katika maisha yangu""Ameen""""

Batuli:
★★You are the best person of this world, I'm sure this year gonna be your greatest★★★ happy birthday to u★★★ happy birthday to u★★★ Happy birthday dear wastara happy birthdat to uuuuuu★★★Love u Chimamy

Nisha:

Happy birthday twin angu. My love.. chocklate.. shoga angu,msiri wangu,,bff,, mpole mwenzangu hihihii Allah akujalie maisha mema yenye furaha na baraka tele,♥♥ ♥ NAKUPENDA SANA HNY..@wastara84 Cake yako ya ugali inakusubiri..

Bond Bin Sinnan:
Happy birthday mamitoo..

Dotnata:
Tototo zuri sn pendeza. Nitakuletea chokret na pipi. Happy birthday.

Princess Manaal:
Happy birthday dada wastara, mwenyezi mungu akujalie uzidi kua na moyo huo huo kama ulionao.
HAPPY BIRTHDAY DEAR.
I LOVE U SANAAA.... MASHALLAH!!

TOA MAONI YAKO HAPA:

No comments:

Post a Comment