Msanii wa bongo fleva T.Z
HAMAD MADEE ameshare picha ya mjengo wake, ambao anaamini kuwa bila ya mziki pengine labda asingekua nayo so haina budi kushkuru mungu, madee amesema ngoma yake ya
POMBE YANGU imesaidia sana kufanikisha kuimaliza ngoma iyo kwa sababu imempatia show nyingi sana na za ela ndefu,
Madee amesema nyumba iyo ipo maaneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar-es - salaam ambayo kwa sasa imemaliza kabisaa bado kuhamiwa tuu;
Kumbe
BONGOFLEVA inalipa kiasi hichi
:
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment