Kama kawaida fans wangu tunakutana tena tukiwa wazima wa afya Alhamdulilah, Imani yangu na nyinyi ni wazima pia kwa sababu tuu bado tunavuta pumnzi mpaka dakika hii, Ule muendelezo wa Filamu yangu ya
DR MAX bado unaendelea nahizi ni picha nyengne kabisa, kuwa wewe wa kwanza kuziona kabla ya mtu mwengne yoyote ndio kwanza naziweka hapa; Na hii ni
DAY 3, tulianza na
DAY 1 ,tukaja
DAy 2 sasa hii ni DAY 3 , Angalia hapa picha za DAY 3, behind the scene
Karibuni sana:
|
AWADH PM |
|
CLOUD NA JAK KWENYE SCENE; |
|
DENC NA HIDAYA NJAIDI KWENYE MAANDALIZI |
|
PACKING |
|
CLOUD, HIDAYA, NA JAK KWNYE SCENE |
|
MAANDALIZI |
|
MAANDALIZI PIA |
|
KWENYE SCENE |
|
DENC |
|
REY KWENYE SCENE: |
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment