Nyota wa muziki wa kizazi kipya Rummy Nanji 'Bob Junior' ameuanza mwaka
vizuri kwa kufunga ndo na mpenzi wake, mwanzoni mwa mwezi huu na
hatmaye hii leo tunazungumza msanii huyo amepata mtoto wa kiume.
Mwanamuziki huyo pia hivi karibuni alikuwa akimalizia video ya wimbo
wake wa Kichumu, ambao umekuwa wakati furaha za harusi na sasa kupata
mtoto. Bongo Unit inampa pongezi raisi wa Sharobaro kupata mtoto huyo.
MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment