Wasanii mbalimbali jana walikusanyika katika ukumbi wa Bwawani katika kusindikiza uzinduzi wa filamu la TOBA ambayo ilizinduliwa na makamu wa kwanza wa raisi wa Zanzibar Maalim Sefu Sharif Hamadi, ambapo pia iliudhuliwa na Waziri wa utamaduni na michezo Zanzibar Said Ally Mbarouk, mkuu wa mkoa Mjini magharibi Abdallah Mwinyi na viongozi wengine wa juu katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Pia filamu hiyo ili zinduliwa na madrasat mbalimbali za Zanzibar, na dua mbalimbali kutoka kwa mashekh wa Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment