Mwanamuziki ambaye kibonge na mwenye mtindo wake wa kipekee pindi
anapokuwa jukwaani yaani lazima atafute sehemu na kukaa ndipo anapoimba
vizuri hapoa anaweza kukaa hata juu ya spika, Bacdad amesema mahakama ya
mwanzo juzi imemruhusu rasmi kuuza T sheti, zenye chata la Mexicana
Lacavera ambalo mwanzo wenzake walimfikisha mahakamani hapo kwa lengo la
kutaka asiitumie nembo hiyo ya kundi kwa manufaa yake. |
No comments:
Post a Comment