Mwanamuziki Aslay Sadiq maarufu kama Dogo Aslay anatarajia kuachia nyimbo yake ya tatu tangu alipoanza kuachia nyimbo ya kwanza Niwe nawe, Naenda kusem na sasa anakuja na Umbea umbea akiwa na Saidi Juma maarufu kama Chege Chigunda. alisema wimbo huo anatarajia utamrudisha tena kwenye chati, kwakuwa kazi yake ya Naenda kusema ilimtambulisha, ila hii inaweza kumweka juu zaidi. alisema video hiyo anatarajia kuaichia siku ya jumanne, ambayo aliitengeneza chini ya studio ya Poteza Rec kwa Suresh 'Mr India' (Kwenye picha akiwa na Dogo Muu, ambaye anatarajia kuja na video ya Shahidi) |
No comments:
Post a Comment