Hali imezidi kuwa tete Zanzibar baada ya waandamaji wa Kiislamu wa jumuiya ya Uamisho wa Mihadhara ya Kiislamu kisiwani Zanzibar (JUMKI0 kuandamana, na kufanya mji wa Zanzibar usiwe na amani. Hali hiyo imedhibitiwa na askari polisi ambao wamekuwa wakijaribu kuzuia vurugu hizo zisizidi zaidi ya hapo. Hata hivyo hali bado imekuwa ngumu, kiasi cha watu wengi kutotoka kwenye majumba yao kwa baadhi ya sehemu. |
No comments:
Post a Comment