Taarifa ya kuskitisha ni kwamba mpiga drum wetu na
Stagemaster James Kibosho amepata ajali ya gari jana usiku
wakati aki drive kurejea nyumbani kwake. hali yake kwa sasa inaendelea vizuri
baada ya kupata matibabu. gari aliyokuwa ana drive ndiyo imeharibika sana.
tumuombee kwake manani ampe nafuu haraka iwezekanavyo
|
Tunakuombea Upone haraka JEMEDALI wetu
ReplyDelete