Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, May 25, 2012

THT wajifua zaidi

Kiongozi wa upande wa madensa kutoka THT Msami, akitoa mafunzo kwa wachezaji wa kundi hilo katika kujiandaa na shughuli mbalimbali ambazo zinafanyika mwanzo au mwisho wa wiki.

wanenguaji wa THT wakionyesha uwezo wao katika mazoezi jana.

THT katika pozi la pamoja

No comments:

Post a Comment