Mwigizaji wa filamu pia alikuwa Kimwana Manywele wa Twanga Pepeta
Sajenti, juzi 25 May amejikuta akiwa mpweke baada ya kusherekea siku ya
kuzaliwa kwake bila ya kuwepo kwa wasanii wa Bongo Movie na wa bendi
ambao aliwatarajia kwa kuwapigia simu kwa muda mrefu, ambao aliamini
wangekuja kumuunga mkono katika shehe hiyo. Hata hivyo majilani zake
walikuja kwa wingi, na huku dada yake mpendwa akimpa mchango wa Dola mia
moja katika koponi aliyoitwa. |
No comments:
Post a Comment