Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Wednesday, April 4, 2012

Ray na Haji Adam ndani ya Sobbing Sound

Baba Haji amesema sasa imepita miaka takribani kumi na kadhaa, tangu kundi la Nyota Academy livunjike ambapo kwa mara ya kwanza ndipo alipokutana na msanii mwenzake wa filamu Vicenti Kigosi 'Ray'. Anasema kwa miaka yote hiyo hakuweza tena kufanya naye kazi pamoja, hadi hii leo wamekutana tena kwenye filamu ya Sobbing Sound akihusika pamoja naIrene Uwoya. Amesema ingawa kila mmoja ni maarufu, lakini kazi zao zilikuwa tofauti na sasa anashukuru mungu kufanya kazi na msaniii ambaye anakutana naye kwa mara nyingine. Anasema kwa hivi sasa mkewe tayari ameshatimiza miezi tiza ya ujauzito wake, hivyo kwa wakati wowote anatarajia kupata mtoto.

No comments:

Post a Comment