Jana usiku kuamkia leo siku ya juma mosi msanii mwenzangu, Steven Kanumba amefariki dunia nyumbani kwake wakati akikimbizwa katika Hospitali ya Muhimbili, baada ya kusadakiwa amejigonga akiwa ndani kwakwe. Sisi kama wasanii tunaomba amani na utulivu, ili tuweze kumfikisha msanii mwenzetu mahari pema peponi ... Amini |
No comments:
Post a Comment