Cy & Cl Company inayomilikiwa na Cloud 112 na Cynthia tunatoa pole kwa msanii mwenzetu Juma Kilowoko 'Sajuki' na mkewe Wastara, kutokana na maradhi ambayo yamemkuba Sajuki. Sisi wasanii wa filamu tunaungana na wasanii wenzetu na wadau wote kwa kumuombea apate nafuu na kurudi kwenye kazi kama zamani. Pia naomba wasanii wenzangu tushirikiane katika haliu hii ambayo imemkuta mwenzetu, kwa msaada na mawasilino juu ya kumsaidia sajuki, wasiliana na Wastara 0713 666 113 kwa njia ya Tigo pesa, na 050000003047 katika benki ya Akiba Commecial yenye jina la Wastara Juma Issa. |
No comments:
Post a Comment