Tukiwa karibu ya jenezi mwili wa marehemu The Great Kanumba, wakati wa kuaga |
msanii Vicent Kigosi 'Ray' akifuatilia kuaga kwa swahiba wakewa karibu |
Wasnii tulishikamana pamoja, hapa aliyevaa mawani nyeusi ni manii wa muziki na filamu nchini Hemed Suleiman, pembeni akiwa na mtangazaji wa Cloud Fm Kibonde |
Wakina mama wa Bongo Movie, nao walikuwa pamoja kumsindikiza msanii mwenzetu. |
Watu walikusanyika toka sehemu mbali mbali, na kusababisha viwanja kujaa sana na hatmaye wengine walikosa pumzi na kuzimia. |
Bendi ya kwaya, nayo ilikuwa ikiimba nyimbo za maombolezo kwaajili kumshukuru mungu kwani yeye ndiyo kila kitu |
Baadhi ya waandishi ikawabidi kupandajuu kwaajili ya kupata picha nzuri na safi, yote katika kuonyesha upendo kwa msanii Kanumba na mapenzi yao kwa filamu za Kitanzania. |
Ray akiongea na mbunge wa Chadema ambaye alikuja kuwakilisha upande wa kiume kwa wa Steven Kanumba. |
Gari la kubeba jeneza la mwili wa marehemu Steven Kanumba lilikuwa likisogea kwaajili ya kuchuka mwili huo kwenda kuuhifadhi katika makazi ya kadumu |
Mzee wetu Mzee Chilo naye alikuwepo kujumika kwa pamoja |
Msanii wa muziki wa kizazi Kidumu kutoka Kenya, naye alikuja kuwawakiisha wasanii wenzake na Wakenya kwa ujumla. |
Kabuli ambalo litaingia jneza la marehem Steven Kanumba |
Kutokana na watu kuwa wengi na kuongezeka kwa vulugu kila mmoja akitaka aone, ndipo ulinzi ukaimalishwa kwa kutumia farasi, pamoja na mbwa wa polisi. |
No comments:
Post a Comment