Wanamuziki
wa kizazi kipya ambao wanaunda kundi la Kigoma Stars, kutokana na
wanamuziki hao wote kutokea Kigoma wanatarajia kufanya bonge la Tamasha
siku ya tarehe 17 ya mwezi huu. Wasanii hao ambao tayari wameshatoa
wimbo mmoja unaokwenda kwa jina la Leka dutigite. Wasanii hao ni
Mwasiti, Linex, Baba Levo, Diamond Platinum, Ali Kiba, Ommy Dinpozi,
Rechal na wengine wengi. Pia inasadikiwa kwamba katika tamasha hilo, pia
;litaudhuliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe. |
No comments:
Post a Comment