Maria Nyerere akabidhiwa filamu ya Mwalimu Nyerere
Mwigizaji wa filamu nchini Stive Nyerere amesema kidogo anahisi faraja
baada ya kukamilisha lengo lake la kumkabidhi mama Maria Nyerere, zawadi
ya Filamu ya Mwalimu Nyerere ambayo aliifanyia nyumbani kwa mwalimu
Butiama. Stive anasema kufanya hivyo ni katika kumshukuru kwa msaada
wake ambao alimuonyesha na kumsaidia ili kuweza kukamilisha filamu hiyo.
zawadi hiyo alikabidhi nyumbani kwake Msasani siku ya jana.
Wasanii wa Bongo Movie wakijiandaa kwenda Msasani kwa Mama Maria Nyerere
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment