Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Wednesday, July 4, 2012

Tmk wanaume wajipanga kwa Mwanza


Wasanii kutoka kundi la Tmk Famili, pamoja na Mwana Fa, Ommy Dimpozi pamoja na wasanii wengine tayari wameshaanza kujiandaa kwaajili ya tamasha litakalo fanyika siku ya sabasaba mkoani MWANZA. Wasanii ambao wanaunda kundi hilo la Tmk mwanzo walikwenda Kenya, lakini waliwahi kurudi kwaajili ya Tamasha hilo ambalo wanaamini watafanya kile ambacho wamekuwa wakikitarajia kukifanya siku hiyo. Aidha walidai kwamba, kwao siku hiyo ndiyo siku ya kuonyesha kwamba wamejipanga na hawateteleki katika suala zima la kutoa burudani



No comments:

Post a Comment