Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, July 6, 2012

Makopa Rec yaanza na Mb Dog mwenyewe

MB DOG  AMERUDI TENA BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU. MB AMEFUNGUA STUDIO YAKE MWENYEWE MACOPA INC NA STUDIO IMESHAANZA KUFANYA KAZI NA KAZI HII MPYA MB DOG IMEFANYIKA KTK STUDIO YAKE MWENYEWE MACOPA RECORD.

MB DOG ANAOMBA WADAU WOTE WA MUSIC MUMPOKEE VIZURI NA MTEGEMEE VITU VINGI TU VIZURI TOKA KWAKE.
NAJUA WENGI TWAKUMBUKA KAZI AMBAZO MB DOG ALISHAFANYA, MSAADA NDIO KITU KIKUBWA TUNAOMBA TUSAIDIANE. 

No comments:

Post a Comment