Producer na ambaye ni mtaalamu wa kufanya master ya muziki Matt
Nicholson kutoka pande za Uingereza, amesema kwa sasa anahitaji kufanya
mambo makubwa kwenye tasnia ya muziki huo hasa kuwafua wasanii wa
kutoka Nyumba ya Vipaji Tanzania 'THT'. Matt tayari alishasingiza
mikono yake katika kutengeneza kazi za wasanii kibao, akiwemo Amini,
Barnaba, Linex na tayari alishafanya kazi na maproducer kibao akiwemo
Tudd Thomas na Lamar. Hata hivyo amesema zaidi ya kuwa mtaalamu zaidi
katika masuara ya Mastaring, lakini pia mkali katika masuala ya
kutengeza beat za aina zote. |
No comments:
Post a Comment