Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Nyumba ya Vipaji Tanzania THT , Linah Sanga, ameendelea kufanya vizuri katika tamasha lake ambalo anafanya katika Tour maalum ya TAMANI Tour huko Dc Washngton Marekani. Linah pia anawashukuru mashabiki wake kwa kumpigia kura katika tuzo zaKilimanjaroMusic Award ingawa alikosa tuzo hizo. |
No comments:
Post a Comment