Moja ya location nikiwa kwenye kituo cha polisi maalufu kama Sero, nikiwaza si unajua katika maisha kuna mambo mengi, ambayomwanaadam yanakufanya ujihisi kama vile umesuswa na mungu wako. |
Barafu akitupa maelekezo, huu ndiyoudhaifu wa mwanaadam hata kama stori utaandika mwenyewe lakinikuna kipindi unasahau Script na kuomba ukumbushe kidogo |
Hata tukiendelea kukamua nikiwa na Esha Salm, pamoja na Marry Osward |
Kabla hatujaanza kazi, kwanza nilihakikisha kila mmoja anajua umuhimu wa jukumu lake lilomleta pale |
Hawa ni maswahiba wangu wa karibu sana,ni Libert na barafu,nao wamo kwenye Maisha, vijana wanafanya kazi kucha kutwa.... hakika hawa ni vijana wa kazi |
Pia sikusahau wasanii wakongwe, ambao wamedumu kwa muda mrefu kwenye tasnia hii |
Afande Embe naye alikamua vizuri, hebu muangalie alivyopendeza kwenye mavazi ya polisi |
Kama nilivyosema wakongwe nao pia walikuwepo, huyu ni mzee maarufu sana kwenye filamu anaitwa mzee Msisiri |
kuna muda tukichoka huwa tunafanya hivi ilikulea hali tofauti, hebu angalia hii video harafu utamu wote unakuja.
|
No comments:
Post a Comment