mwanamuziki Bob Junior, jana ameachia video ya wimbo wake mpya wa Ni Chum, akiwa na mwana dada Lulu kwenye track hiyo.... Hebu angalia kupitia Injini ya jiji
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment